You are currently viewing PRINCE OMAR ASAINIWA NA LEBO YA MUZIKI YA BADDEST

PRINCE OMAR ASAINIWA NA LEBO YA MUZIKI YA BADDEST

Msanii Prince Omar kutoka nchini Uganda amekuwa akisuasua kimuziki licha ya kuwekeza mamillioni ya fedha kwenye kazi zake.

Msanii huyo amefanya kazi na menejiment mbali mbali kama Black Market Records na Jah Live ila hajafanikiwa kutoa ngoma yeyote kali.

Sasa katika jaribio la kufufua kazi za zake za muziki prince omar amethibitisha kusainiwa na meneja wa rapa ffefe bussi aitwaye Arafat chini ya lebo yake ya muziki ya Baddest.

Hata hivyo Prince Omar amedokeza kuachia Extended Playlist (EP ) mpya kama kazi yake ya kwanza chini lebo ya Baddest.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke