You are currently viewing PRODYUZA MKONGWE WA BONGO P FUNK MAJANI MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

PRODYUZA MKONGWE WA BONGO P FUNK MAJANI MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Producer Mkongwe wa muziki kutoka nchini Tanzania, P Funk Majani amesema albamu yake imekamilika kwa asilimia 80.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter prodyuza huyo kutoka Bongo Records amesema album itaingia sokoni machi 30 mwaka huu wa 2022 ingawa hajaweka wazi jina la album na idadi ya ngoma zitakazopatikana kwenye album yak hiyo.

“My album MAJANI is 80% complete, God willing we Dropping on March 30th 2022!!!” ameandika Majani Twitter.

P Funk Majani anakuja na albamu hiyo mara baada ya mwaka jana kusimamia albamu ya Rapcha, Wanangu 99 iliyotoka na ngoma 10.

Utakumbuka mwaka jana Producer mwingine Tanzania, Marco Chali aliachia albamu yake, iitwayo ONA.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke