You are currently viewing RALF RANGNICK ATANGAZWA KUWA KOCHA MKUU AUSTRIA

RALF RANGNICK ATANGAZWA KUWA KOCHA MKUU AUSTRIA

Shirikisho la soka nchini Austria limemtangaza rasmi Ralf Rangnick kama kocha mpya wa timu ya Taifa hilo kwa mkataba wa miaka miwili.

Rangnick anachukua nafasi ya kuingoza timu ya Taifa kuanzia mwishoni mwa msimu huu hadi mwaka 2024. Hii haimaanishi kuwa ataachana na United hapana, Ralf ataendelea kuitumikia nafasi yake ya mshauri wa Manchester United kwa miaka miwili kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.

Hii ni fursa ya kuona soka la mtaalamu huyu wa 4-2-2-2 likifanya kazi akiwa kama kocha mkuu kuanzia msimu ujao.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke