Moja kati ya wanamuziki kutoka Africa ambao huwa hawafichi mapenzi yao kwenye vitu wanavyo vipenda kwa kuweka alama ya michoro katika mwili wake ni rapper a.k.a kutoka Afrika kusini.
Hili limejidhihirisa wazi baada nyota huyo kuongeza tattoo mpya ya nguli na mfalme wa muziki wa pop duniani The late Michael Jackson katika mkono wake wa kushoto ,ikiwa ni tattoo ya pili ya msanii huyo mwilini mwake.
A.K.A pia ana tattoo ya tIm yake pendwa ya Manchester United katika mkono wake wa kushoto