You are currently viewing Rapa Drake na 21 Savage washtakiwa na Kampuni ya VOGUE kwa madai ya utapeli

Rapa Drake na 21 Savage washtakiwa na Kampuni ya VOGUE kwa madai ya utapeli

Wanamuziki Drake na 21 Savage wameingia tena kwenye headsline baada ya kushtakiwa na Kampuni ya VOGUE kufuatia kutumia chapisho feki na kisha ku-promote album yao mpya iitwayo “Her Loss” iliyotoka Nov 4, mwaka huu.

Kwenye picha hiyo ambayo inaonekana kama jalada halali la Vogue, limepelea taharuki kwa mashabiki kuamini kuwa huenda kampuni hiyo ingetoa toleo maalum hivi karibuni juu ya album hiyo inayozungumziwa kwa sasa.

Mwanamama Condé Nast ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Vogue, amedai timu ya Drake imeudanganya Umma kufuatia ujumbe wa Drake kuhusu “kusherehekea jalada la Drake kutoka kwenye kampuni yetu Vogue” pamoja na kumpongeza Mhariri mkuu Anna Wintour wa jarida hilo mtandaoni kwa kudai wamepata baraka.

Condé Nast amekaririwa na vyombo vya habari akisema, Drake amejichukulia sheria mkononi, hayakuwa makubariano Maalum

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke