You are currently viewing RAPPER KUTOKA MAREKANI TEKASHI 69 AKIRI KUFILISIKA KIUCHUMI

RAPPER KUTOKA MAREKANI TEKASHI 69 AKIRI KUFILISIKA KIUCHUMI

Rapa kutoka marekani Tekashi 69 ameripotiwa kufulia kiuchumi hii ni baada ya kuomba mahakama imuonee huruma kutokana na hali mbaya ya kiuchumi anayopitia kwa sasa.

Kuhusika kwake na tukio la wizi la mwaka wa 2018 kunamfanya rapa huyo kulipa fidia ndefu ambayo anahofu kuwa itammaliza kabisa kiuchumi.

Kwa mujibu wa mtandao wa Complex, kupitia hati iliyosainiwa Machi 7 mwaka huu, Tekashi ameeleza kuwa ana watoto wadogo wawili na mama yao wanaomtegemea.

Mkali huyo kutoka Brooklyn, anatajwa kuwa anapitia wakati mgumu kwa sasa kutokana na kutokuwa na Record’ Deal na kampuni yoyote huku pia ripoti zikidai kuwa hata katika matamasha mengi yanayofanyika mwaka huu ajapokea Bookings.

Lakini pia dili lake na kampuni iliyokuwa ikimsimamia kimuziki ya Ten Thousand Project limekwisha rasmi nwezi uliopita na hawajasaini ten

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke