You are currently viewing RAYVANNY AANDIKA HISTORIA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2021

RAYVANNY AANDIKA HISTORIA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC AWARDS 2021

Msanii wa Bongofleva kutoka Next Level Music (NLM),  Rayvanny amekuwa msanii wa kwanza kutokea Afrika kuwahi kutumbuiza kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) 2021.

Hafla ya tuzo hizo ambazo zimefanyika usiku wa kuamkia leo Novemba 15, 2021 nchini Hungary katika ukumbi wa Budapest Spotarena, Rayvanny alipanda jukwaani na staa wa Colombia aliyemshirikisha kwenye wimbo Mama Tetema, Maluma.

Maluma na Ray Vanny wametumbuiza ngoma hiyo kwa mara ya kwanza usiku wa kuamkia leo, na sasa tayari ngoma hiyo inapatikana kupitia majukwaa mbalimbali ya ku-stream muziki mtandaoni.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke