Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Rayvanny ameonesha kushangazwa na ngoma yake iitwayo “Chuchumaa” iliyotoka miaka mitatu iliyopita kuwa bado inafanya vizuri sehemu mbalimbali dunini
Kupitia ukurasa wake wa Twitter RayVanny amewahakikishia mashabiki wake kuachia toleo jipya la wimbo huo, huku akiwa bado anajiuliza msanii yupi atakuwa sahihi kumshirikisha.
Itakumbukwa, wimbo wa Chuchumaa ulitoka rasmi Oktoba 5, mwaka 2019 Rayvanny akiwa chini ya uongozi wake wa awali, lebo ya ‘WCB’ na ulitayarishwa na producer Gachib