You are currently viewing RAYVANNY ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA JUSTIN BIEBER

RAYVANNY ATHIBITISHA UJIO WA COLLABO YAKE NA JUSTIN BIEBER

Habari nzuri kwa mashabiki wa muziki wa BongoFleva kutoka Tanzania ni kwamba tutarajie muda wowote ujio wa Collabo kati ya mwanamuziki rayvanny na Star wa RnB -Pop Justin Bieber.

Kupitia insta story ya Rayvanny kwenye mtandao wa Instagram ameshare taarifa hiyo nzuri kwa mashabiki na wadau wa muziki nchini kwa kuthibitisha kuwa tayari wawili hao wamefanya kazi ya pamoja.

Endapo collabo hiyo itatoka itamfanya Rayvanny kuwa msanii wa 3 kutoka Africa baada ya WizKid na Burna Boy kufanya kazi ya pamoja na mwanamuziki huyo nyota kutoka canada.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke