You are currently viewing RAYVANNY KUSHIRIKI KWENYE ZIARA YA MALUMA “PAPI JUANCHO” MWAKA WA 2022

RAYVANNY KUSHIRIKI KWENYE ZIARA YA MALUMA “PAPI JUANCHO” MWAKA WA 2022

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania, Raynvanny amehisiwa kuwa huwenda akashiriki ziara ya kimataifa ya nyota wa muziki wa nchini Colombia, Maluma.

Rayvanny anahisiwa kuwa atashiriki ziara hiyo iliyopewa jina la album ya tano ya Maluma ‘Papi Juancho’ inayotarajiwa kuanza rasnu Februari 2021.

Hii ni baada ya ujumbe wa Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram Disemba 14 2021 uliosomeka “SIJISIFII TOKA TUPATE UHURU HAUJAWAHI TOKEA WIMBO KAMA HUU EAST AFRICA PERIOD KAMA UNABISHA SEMA WEWE UPI ??? πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
#MAMATETEMA GLOBAL WAY πŸŒπŸŒπŸš€πŸš€πŸš€πŸš€πŸš€ #CHUI @rayvanny @maluma MEET ME ON #PAPIJUANCHO TOUR πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
ZOMBIE BABA @s2kizzy πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Maluma ameshatoa ratiba rasmi ya ziara hiyo ambapo itaanzia Zagreb Croatia, Februrari 24 na kumalizia April 10 huko Tel Aviv nchini Israel.

Hii inafuata baada Rayvanny kuvunja rekodi ya kuwa Msanii wa kwanza kutokea Afrika kutoa burudani kwenye jukwaa la MTV EMA kwa mwaka 2021.

Burudani hiyo ya kihistoria kwa tasnia ya muziki kwa msanii kutoka Afrika akiwakilisha Tanzania ilitolewa kwa wimbo wa Maluma,Mama tetema

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke