You are currently viewing RAYVANY AMPIGA CHINI HARMONIZE KWA IDADI YA VIEWS YOUTUBE

RAYVANY AMPIGA CHINI HARMONIZE KWA IDADI YA VIEWS YOUTUBE

Ni Rasmi sasa bosi wa lebo ya Next Level Music na msanii kutoka WcB, Rayvanny ndiye msanii wa pili kwa idadi kubwa ya watazamaji wa jumla  yaani (total views) katika mtandao wa YouTube Afrika Mashariki.

Rayvanny aliye jiunga na mtandao huo Machi 17 mwaka wa 2016 anachukua nafasi hiyo ya pili akiwa na total views zaidi ya Million 643.8, baada ya kumpita harmonize ambaye alijiunga mwaka mMoja nyuma yake, ambaye ana zaidi ya total views Million 643.7.

Mpaka sasa mwanamuziki diamond platnumz ndiye kinara wa total views ,kwa nchi zinazo patikana kusini mwa jangwa la Sahara, akiwa na jumla ya watazamaji wa jumla yaani (total views) zaidi ya Billion 1.5.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke