You are currently viewing RJ THE DJ ARUSHA JIWE GIZANI, AWACHANA WALIOMDHARAU DIAMOND PLATINUMZ

RJ THE DJ ARUSHA JIWE GIZANI, AWACHANA WALIOMDHARAU DIAMOND PLATINUMZ

DJ wa Diamond Platinumz ambaye pia ni Kaka wa bosi huyo wa WCB Romy Jons amewataka watu wapendane hata kama mtu hana mbele wala nyuma

Kupitia ukurasa wake wa Instagram wa Romy Jons amewataka watu wathaminiane ujumbe uliomaanisha kuwa hakuna aijuaye kesho yako au yake.

“Kuna baadhi ya ndugu/marafiki walimdharau sana na kumkebehi mdogo wangu nasibu, hakuna alieamini katika ndoto yake, leo ndio hao mstari wa mbele kuomba msaada, tupendane na kuthaminiana hata kama hatuna mbele wala nyuma”. Ameandika kwenye Istagram yake.

Hii inakuja mara baada ya watu waliomdharau mdogo wake Diamond Platnumz kwa kutoamini katika ndoto yake kipindi cha nyuma lakini leo wamekuwa mstari wa mbele kwenye suala la kumuomba msaada.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke