You are currently viewing SAMUEL ETO’O ACHAGULIWA KUWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA CAMEROON

SAMUEL ETO’O ACHAGULIWA KUWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA CAMEROON

Nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto‘o amechaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini Cameroon (FECAFOOT).
Eto‘o Fils mwenye umri wa miaka (40) ataliongoza Shirikisho hilo kwa kipindi cha miaka Minne.

Samuel Eto’o katika historia ya soka amewahi kushinda tuzo za mchezaji bora Afrika mwaka 2003, 2004, 2005 na 2010.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke