You are currently viewing SANAIPEI TANDE AWABARIKI MASHABIKI NA EP MPYA

SANAIPEI TANDE AWABARIKI MASHABIKI NA EP MPYA

Nyota wa muziki nchini Sanaipei Tande ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Nabo.

Sanaipei ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo sita huku ikiwa na kolabo mbili ambazo amewashirikisha wakali kama Khaligraph jone na Nyanshinski.

Nabo Ep ina nyimbo kama Jali akiwa amemshirikisha Nyashinski, Chukua, Nakuthamini,Kiwango akiwa amemshiriisha Khaligraph Jones, Yuko na Wewe na Nabo ambayo imebeba jina la EP hiyo.

Hii inakuwa EP ya kwanza kutoka kwa mtu mzima Sanaipei Tande na inapatikana exclusive kwenye Digital Platforms zote za kusambaza muziki duniani

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke