Kundi la Sauti Sol limeweka wazi kuwa limesitisha mkataba wao na kampuni ya Universal Music Group.
Kwenye mahaojiano aliofanya mjini Nairobi Msanii wakundi hilo Bein amesema kuwa waliamua kutosaini mkataba mwingine na kampuni hiyo.
Bein amesema kuwa lengo la msanii kujulikana zaidi na kufika kimataifa ni swala ambalo haliko kwa mtu anayesamabaza mziki wake bali ni kwa msanii mwenye .
Aidha amefichua kwa sasa wametayarisha Album mpya ambayo itasambazwa na kampuni tofauti.
Utakumbuka Sauti Sol na Universal Music Group walisaini mkataba mwaka wa 2020.