You are currently viewing SAUTI SOL WATAJWA WASANII VINARA KWENYE TAMASHA LA AFROPALOOZA NCHINI UGANDA

SAUTI SOL WATAJWA WASANII VINARA KWENYE TAMASHA LA AFROPALOOZA NCHINI UGANDA

Baada ya kutumbuiza kwenye michuano ya Kikapu maarufu kama Basketball Africa nchini Rwanda wiki moja iliyopita, kundi la sauti sol limetajwa kama wasanii vinara kwenye uzinduzi wa tamasha la Afropalooza oktoba 9 mwaka huu nchini uganda.

Wasanii wengine watakaowasha moto wa burudani siku hiyo ni pamoja na, Cindy, Lilian Mbabazi, Spice Diana, Maurice Kirya, Ykee Benda, Winnie Nwagi, Vinka, Navio.

Tamasha la Afropalooza ambalo litafanyika kati ya tarehe 7 na 9 Oktoba katika ukumbi wa Lugogo Cricket Oval, jijini Kampala litawaleta pamoja zaidi ya wasanii 60.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke