You are currently viewing SAVARA MUDIGI WA SAUTI SOL AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

SAVARA MUDIGI WA SAUTI SOL AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Hatimaye msanii wa Sauti sol Savara Mudigi ameachia rasmi Album yake mpya inayokwenda kwa jina la Savage Level.

Album hiyo ina jumla ya mikwaju 14 ya moto ikiwa na kolabo mbili tu kutoka kwa Karun na Nyashinski.

Savage Level ina nyimbo kama Sababisha, Changes, Balance, Hallo, In My Heart na  inapatikana Exclusive kupitia digital platforms mbalimbali za kupakulia na kusikilizia muziki duniani ikiwemo Apple Music na Spotify.

Ikumbukwe hafla ya usikilishwaji wa Savage Level Album kutoka kwa mtu mzima Savara Mudigi ilifanyika Februari 22, ikiwaleta pamoja wanahabari, wasanii na mashabiki.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke