You are currently viewing SNOOP DOGG AMUONGEZEA MSHAHARA ANAYEMTENGENEZEA BANGI

SNOOP DOGG AMUONGEZEA MSHAHARA ANAYEMTENGENEZEA BANGI

Rapper Snoop Dogg amemuongeza mshahara mfanyikazi wake anayemtengenezea bangi  (Personal blunt roller) kutokana na mfumuko wa bei.

Akizungumza kwenye mahojiano na The Howard Stern Show, Snoop Dogg amesema nyongeza hiyo ya mshahara imetoka $40,000 hadi $50,000 ambayo ni sawa na takriban shillingi millioni 5,850,000 za Kenya kwa mwaka.

Rapa huyo mkongwe kutoka Marekani mwaka 2019 alitusanua kwamba ameajiri mtu maalum kwa ajili ya kazi ya kutengeneza bangi tu.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke