You are currently viewing SPICE DIANA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

SPICE DIANA AACHIA RASMI EP YAKE MPYA

Staa wa muziki kutoka nchini Spice Diana Uganda ameachia rasmi EP yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake.

EP hiyo inakwenda kwa jina la Star Gal ina jumla ya nyimbo 4 za moto ikiwa na kolabo mbili  kutoka kwa wakali kama Jose Chameleone, John Blaq na Daddy Andre.

Star Gal ambayo kwa sasa inapatikana kwenye majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani  ina ngoma kama Boss,Bwotyo,Sankalebwa na Toli Weka.

Hii ni EP ya kwanza kwa mtu mzima Spice Diana tangu aanze safari yake ya muziki  na mwaka wa 2015.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke