GRAVITY OMUTUJJU AMPA ZA USO BEBE COOL,ADAI WIMBO WAKE MPYA NI FEKI.
Juzi kati mwanamuziki kutoka nchini Uganda Bebe Cool aliachia wimbo wake mpya uitwao"Gyenvudde" ambao unasimulia mafanikio yake katika tasnia ya muziki. Katika wimbo huo, ameelezea safari yake ya muziki na…