ALICIA KEYS MBIONI KUJA NA ALBUM MPYA
Mwanamuziki Alicia Keys kutoka nchini Marekani, hajataka kuumaliza mwaka 2021 bila kuwapa zawadi mashabiki wake. Nyota huyo ametangaza rasmi kuachia album yake mpya iitwayo "Keys", Desemba 10 mwaka huu. Amebainisha…