KALIFAH AGANAGA ADAI MUSEVENI AMESHINDWA KUTIMIZA AHADI YA KUMFADHILI KIMASOMO
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Kalifah Aganaga amefichua kuwa Rais Museveni ameshindwa kutimiza ahadi yake aliyotoa ya kumfadhili kusomea kozi ya uhandisi wa sauti nchini Marekani. Akiwa kwenye moja ya interview,…