ANGELLA KATATUMBA AKIRI KUTESWA NA MAPENZI
Mwanamuziki kutoka uganda Angella Katatumba amewashangaza mashabiki wake alipofichua kwamba kuna kipindi maishani mwake alikula tu vipande vya barafu kwa takriban wiki tatu. Katika mahojiano yake hivi karibuni msanii huyo…