AROMA AJIUNGA NA LEBO TEAM NO SLEEP
Msanii kutoka Uganda Aroma alipata umaarufu kwenye muziki wake kupitia wimbo uitwao Yoola ambao aliwashirikisha wasanii wa B2c Boys. Tangu wakati huo amekuwa akiachia magoma makali ambayo yanazidi kufanya vizuri…

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Aroma hana furaha kabisa na baadhi ya wasanii nchini humo ambao wanalipa vyombo vya habari kuhujumu muziki wake. Katika mahojiano na Runinga ya NBS Aroma amesema…
Msanii wa kike kutoka nchini Uganda Aroma amesikitishwa na namna wasanii wakubwa nchini humo wanaendesha tasnia ya muziki. Akiwa kwenye moja ya interview Aroma amedai kwamba mastaa wengi nchini uganda…