Ashanti akiri kuwahi kuombwa rushwa ya ngono na Mtayarishaji wa Muziki
Mwanamuziki kutoka Marekani Ashanti ametoboa siri ambayo wengi walikuwa hawaifahamu, amekiri kuwahi kupitia changamoto kwenye muziki wake ikiwemo ya kuombwa rushwa ya ngono na Mtayarishaji wa Muziki ili tu apate…