Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize
Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nowe Sweety,' ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi yake mpya na msanii wa BongoFleva Harmonize. Kupitia ukurasa wake…