BEBE COOL AAHAPA KUIKINGIA KIFUA FAMILIA YA BOBI WINE
Mwanamuziki Bebe Cool hana mahusiano mazuri na msanii mwenzake Bobi Wine, lakini katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Bebe Cool amehibitisha kwamba hawezi kumvumilia mtu yeyote atakayeitupia matusi familia ya…