BEKA FLAVOUR AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA
Msanii wa Bongofleva Beka Flavour ameachia rasmi Album yake mpya inayokwenda kwa jina la First Born. Album hiyo ambayo inapatikana exclusive kupitia Boomplay ina jumla ya ngoma 15 ya moto huku ikiwa na…

Msanii wa Bongofleva Beka Flavour ameanika hadharani tracklist ya Album yake mpya inayokwenda kwa jina la First Born. Kupitia Instagram yake msanii huyo amechapisha Artwork ya Album hiyo ambayo ina jumla…
Mwanamuziki wa Bongofleva, Beka Flavour amedai kuwa video mbili za nyimbo zake, Libebe na Sikinai zimefutwa katika chaneli yake ya YouTube. Beka flavour amesema hata alipowasiliana na YouTube amejibiwa kuwa…
Mwanamuziki wa Bongofleva, Beka Flavour amedai haweza kujihushisha na timu yoyote katika muziki huo ili kunufaika na mashabiki wa timu fulani kwani yeye anatengenezea kazi nzuri ambazo anajua zinaweza kupendwa…