DR. DRE AFIKISHIWA NYARAKA ZA TALAKA AKIWA MAKABURINI.
Sakata la kuvunjika kwa ndoa ya mtayarishaji mkongwe Dr. Dre bado linashika vichwa vya habari duniani, Sasa jipya limeibuka ambapo tovuti ya TMZ imeripoti kwamba Dre amefikishiwa nyaraka za kisheria…