BOOMPLAY WAINGIA MKATABA NA TELKOM KENYA KURAHISISHA HUDUMA ZA KUSTREAM MUZIKI
Mtandao wa Boomplay umeingia ubia wa kufanya kazi na kampuni ya mawasiliano ya Telkom Kenya kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma za kustream muziki miongoni mwa wakenya. Ushirikiano huo…