Burna Boy atajwa tena kutumbuiza Coachella mwaka 2023
Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy ametajwa tena kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Muziki nchini Marekani Coachella mwaka 2023. Burna Boy ametajwa kwenye orodha ya wasanii ambao watatumbuiza Aprili…