Cardi B mbioni kuachia Album mpya
Rapa Cardi B ataikata kiu yako ya muziki muda wowote kuanzia sasa baada ya ukimya wa miaka minne. Rapa huyo kutoka nchini Marekani ameonekana akiwa studio kwenye picha ambayo imesambaa…
Rapa Cardi B ataikata kiu yako ya muziki muda wowote kuanzia sasa baada ya ukimya wa miaka minne. Rapa huyo kutoka nchini Marekani ameonekana akiwa studio kwenye picha ambayo imesambaa…
Rapa Cardi B ameingiwa na hofu, na hiyo ndio sababu kuu ambayo inamfanya achelewe kuachia Album mpya kwa kipindi cha miaka mitatu sasa. Cardi B anasema amekuwa muoga kuachia ngoma…
Rapa Cardi B ameibuka na kumkingia kifua mume wake Offset baada ya kusambaa kwa post ambayo inaonesha Offset akisema kwamba tayari ana ngoma na Burna Boy. Hii ni kufuatia kushindwa…
Rapa kutoka Marekani Cardi B amefunguka wazi kuwa amechoka kuwa maarufu, hii ni baada ya kumalizika kwa onesho la Met Gala 2022 Jijini New York Jumatatu wiki hii. Cardi B…
Rapa wa kike kutoka Marekani Cardi B amelipiga chini dili nono lenye thamani ya shilling billion 3.2 za Kenya kwa kujiondoa kwenye nafasi ya uhusika mkuu wa filamu ya ucheshi…
Female Rapper kutoka Marekani Cardi B ametoa maoni yake kuhusu nchi ya Urusi na ameshauri viongozi wakubwa duniani watafute suluhisho kwa usalama wa raia. Hii inakuja baada uwepo wa machafuko…
Wakati ukichukulia poa kumbukizi ya kuzaliwa kwa mpenzi wako, huko nchini Marekani rapa Cardi B hakuwa na jambo dogo kwa Baby Daddy wake OffSet , Hitmaker huyo wa "WAP" amemsurprise…
Rapa Cardi B kutoka Marekani ameendelea kuwa mtu wa ahadi kwa mashabiki wa muziki wake juu ya ujio wa album yake mpya baada ya miaka mitatu sasa. Jana kupitia Instagram…
Rapa kutoka Marekani Cardi B yuko hatarini kufungwa miaka minne jela kufuatia mashtaka mawili yanayomkabili,ya kuwapiga na kuwafanyia fujo wahudumu wawili wa club iitwayo Angels-Strip-Club Mwaka 2018 Cardi B alikamatwa…
Rapa Cardi B alikuwa anapaza sauti yake kwenye mijadala mbali mbali ya siasa za nchini Marekani, lakini kuna muda alikuwa hasikiki tena na watu kuanza kujiuliza maswali. Akijibu swali hilo…