KHALIGRAPH JONES AGOMA KUTOA MATUMIZI KWA MTOTO WAKE
Aliyekuwa mpenzi wa msanii Khaligraph Jones,Cashy ameshambulia mwanamuziki huyo akidai kuwa amhudumii mtoto wake wa kiume aliyezaa naye mwaka wa 2018 pindi tu walipoachana. Cashy ameshukuru kufunguliwa kwa nchi ambapo…