CHID BENZ AACHIA TRACKLIST YA “WA2 WANGU” ALBUM
Rapa kutoka nchini Tanzania Chidi Benz amewapa mashabiki wake orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya ya “Wa2 Wangu” anayoitarajia kuitoa hivi karibuni. Chid benz ambaye ni mshindi mara…