Skip to content

Urban Spice

  • Home
  • Entertainment
  • Sports
  • Technology
  • Contact
  • Home
  • Entertainment
  • Sports
  • Technology
  • Contact
Read more about the article Chris Brown kufikishiwa kortini kwa tuhuma za kukwepa kodi

Chris Brown kufikishiwa kortini kwa tuhuma za kukwepa kodi

  • Post published:January 27, 2023

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown anadaiwa kodi na mamlaka ya mapato nchini Marekani, ambapo inatajwa kuwa anadaiwa kiasi cha (USD 4 million) zaidi ya KSh. milioni 497 ambacho ni…

Continue ReadingChris Brown kufikishiwa kortini kwa tuhuma za kukwepa kodi
Read more about the article Ngoma ya Chris Brown “Call Me Every Day” yafakisha mauzo ya GOLD Marekani

Ngoma ya Chris Brown “Call Me Every Day” yafakisha mauzo ya GOLD Marekani

  • Post published:January 13, 2023

Ngoma ya mwimbaji nyota duniani, Chris Brown "Call Me Every Day" ambayo amemshirikisha Wizkid imefanikiwa kuuza nakala zaidi ya 500,000 nchini Marekani na hivyo kufikia kiwango cha mauzo ya "GOLD".…

Continue ReadingNgoma ya Chris Brown “Call Me Every Day” yafakisha mauzo ya GOLD Marekani
Read more about the article Kelly Rowland amkingia kifua Chris Brown kwenye Tuzo za American Music Awards

Kelly Rowland amkingia kifua Chris Brown kwenye Tuzo za American Music Awards

  • Post published:November 21, 2022

Mwanamuziki Kelly Rowland amemkingia kifua Chris Brown mbele ya mashabiki ambao walianza kumzomea kwenye utoaji wa Tuzo za (American Music Awards) usiku wa kuamkia leo. Baada ya kumtangaza kama mshindi…

Continue ReadingKelly Rowland amkingia kifua Chris Brown kwenye Tuzo za American Music Awards
Read more about the article CHRIS BROWN AKUBALI  JINA ALILOPEWA NA WANAIGERIA

CHRIS BROWN AKUBALI JINA ALILOPEWA NA WANAIGERIA

  • Post published:August 8, 2022

Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown amelipokea kwa mikono miwili Jina la Ki-Nigeria ambalo amepewa na raia wa Taifa hilo “Oluwa Gbenga Breezy” baada ya kukubali kushiriki kwenye nyimbo nyingi za…

Continue ReadingCHRIS BROWN AKUBALI JINA ALILOPEWA NA WANAIGERIA
Read more about the article CHRIS BROWN MATATANI KWA KUKWEPA SHOW YAKE

CHRIS BROWN MATATANI KWA KUKWEPA SHOW YAKE

  • Post published:July 19, 2022

Taarifa zinanazidi kusambaa zikimuhusisha Msanii Chris brown kukimbia na pesa baada ya kughairi kutumbuiza huko Houston muda mchache baada ya kufanya Soundcheck. The shade room imeripoti kuwa, Mwanaharakati na Mfanya…

Continue ReadingCHRIS BROWN MATATANI KWA KUKWEPA SHOW YAKE
Read more about the article CHRIS BROWN AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

CHRIS BROWN AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

  • Post published:June 26, 2022

Nyota wa Pop na RnB kutoka Marekani, msanii Chris Brown tayari ameachia album yake mpya iitwayo “Breezy” yenye jumla ya ngoma 24. Album hii mpya inakuwa ni album ya 10…

Continue ReadingCHRIS BROWN AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA
Read more about the article CHRIS BROWN ADAI DIDDY ALIKATAA KUMSAINI KWENYE LEBO YAKE YA MUZIKI

CHRIS BROWN ADAI DIDDY ALIKATAA KUMSAINI KWENYE LEBO YAKE YA MUZIKI

  • Post published:June 24, 2022

Mwanamuziki nyota kutoka Marekani Chris Brown kwenye mahojiano na Drink Champs ameweka wazi kwamba rapa mkongwe Diddy alikataa kumsaini kwenye Label yake ya "Bad Boy", kipindi ambacho alikuwa na umri…

Continue ReadingCHRIS BROWN ADAI DIDDY ALIKATAA KUMSAINI KWENYE LEBO YAKE YA MUZIKI
Read more about the article ZIARA YA ONE OF THEM ONES YAMNYIMA USINGIZI CHRIS BROWN

ZIARA YA ONE OF THEM ONES YAMNYIMA USINGIZI CHRIS BROWN

  • Post published:June 23, 2022

Staa wa muziki kutoka Marekani Chris Brown ana zaidi ya miaka 17 kwenye huu muziki, amefanya matamasha mengi katika kipindi cha miaka yote hiyo lakini bado haijamfanya kulizoea Jukwaa. Breezy…

Continue ReadingZIARA YA ONE OF THEM ONES YAMNYIMA USINGIZI CHRIS BROWN
Read more about the article CHRIS BROWN AKIRI KUREKODI NYIMBO 250 KWA AJILI YA ALBUM YAKE MPYA

CHRIS BROWN AKIRI KUREKODI NYIMBO 250 KWA AJILI YA ALBUM YAKE MPYA

  • Post published:June 20, 2022

Staa wa muziki kutoka Marekani Chris Brown amefunguka kwamba alirekodi nyimbo 250 katika kipindi cha miaka mitatu ambayo alikuwa akiitayarisha Album yake mpya “Breezy” ambayo itaachiwa June 24 mwaka huu.…

Continue ReadingCHRIS BROWN AKIRI KUREKODI NYIMBO 250 KWA AJILI YA ALBUM YAKE MPYA
Read more about the article CHRIS BROWN AMPONGEZA RIHANNA NA MPENZI WAKE ASAP ROCKY KWA KUPATA MTOTO WA KIUME

CHRIS BROWN AMPONGEZA RIHANNA NA MPENZI WAKE ASAP ROCKY KWA KUPATA MTOTO WA KIUME

  • Post published:May 20, 2022

Moyo wa Chris Brown bado upo kwa Rihanna, hii ni baada ya kumpongeza Ex wake huyo kwa kupata mtoto wa Kiume pamoja na mpenzi wake Asap Rocky. Kupitia instastory yake…

Continue ReadingCHRIS BROWN AMPONGEZA RIHANNA NA MPENZI WAKE ASAP ROCKY KWA KUPATA MTOTO WA KIUME
  • 1
  • 2
  • 3
  • Go to the next page
Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo...

Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwanamitindo maarufu duniani Amber Rose ameibuka na kudai kuwa kuna unyanyasaji mkubwa sana wa wanawake lakini vyombo vya habari vimekuwa...

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nowe Sweety,' ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi...

Otile Brown atangaza ujio wake mpya 2023

Otile Brown atangaza ujio wake mpya 2023

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwimbaji nyota wa kizazi kipya nchini Kenya, Otile Brown hataki kuwaacha mashabiki wake hivi hivi kabla mwezi huu haujaisha. Hii...

Load More

Categories

  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Others
  • Sports
  • Technology
  • Today in History

More about us

  • Become a contributor
  • Advertise with us
  • Categories
  • Contact
  • Privacy Policy
  • Terms and conditions

Social Media

Facebook Twitter Youtube
Copyright © 2023 Urban Spice | All rights reserved