CLEVER J AKATA TAMAA KUFANYA KAZI NA JOSE CHAMELEONE.
Msanii kutoka nchini Uganda Clever J hatomsamehe Jose Chameleone kwa kumpa ahadi ya uongo. Kipindi cha nyuma, Chameleone aliahidi kufanya wimbo wa pamoja na Clever J lakini hakufanikisha suala hilo.…