Daddy Andre afunguka madai ya kuharibu wimbo wa Fred Sebata
Msanii kutoka nchini Uganda Daddy Andre amewajibu wanaodai kuwa aliharibu wimbo wa msanii mkongwe Lord Fred Sebatanoting uitwao Sam Wange. Kwenye mahojiano yake karibuni amesema alijaribu kuupa wimbo huo ladha…