Daddy Owen akanusha kutoka kimapenzi na shabiki yake
Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Daddy Owen amekanusha madai ya kutoka kimapenzi na rafiki wake wa karibu Eve Maina. Kupitia instastory yake amesema hana uhusiano wowote wa kimapenzi na…
Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Daddy Owen amekanusha madai ya kutoka kimapenzi na rafiki wake wa karibu Eve Maina. Kupitia instastory yake amesema hana uhusiano wowote wa kimapenzi na…
Mwimbaji wa nyimbo za Injili , Daddy Owen amefichua kuwa hajashiriki tendo la ndoa kwa miaka miwili. Katika mahojiano yake hivi karibuni, Owen amesema kuwa hajakuwa na hamu ya kufanya…
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Daddy Owen ameahirisha hafla yake ya kila mwaka ya Malaika Disability walk ambayo ilipangwa kufanyika tarehe 3 Desemba mwaka huu. Kupitia kurasa zake za mitandao…
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini daddy owen amekanusha madai yanayotembea mtandaoni kuwa anatafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye ndoa ikiwa ni siku chache zimepita toka alipoweka wazi vigezo anavyohitaji…
Mrembo asiyeishiwa na matukio kila leo Pritty Vishy amekata tamaa kwenye penzi la Daddy Owen ikiwa ni siku chache zimepita toka mwimbaji huyo wa injili amkatae hadharani. Mrembo huyo ambaye…
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Daddy Owen amewashauri mastaa kurudisha mkono kwa jamii kwa kutoa misaada kwa watu wenye uhitaji. Kupitia instagram Daddy Owen amesema hatua hiyo itawapa motisha…
Msanii wa nyimbo za injili Daddy Owen ameibuka na kukanusha taarifa za utajiri wake zilizoainishwa na jarida moja kuwa ana utajiri wa shilllingi millioni 938 za Kenya. Kupitia ukurasa wake…
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Daddy Owen ametoa wito kwa wahisani kuwasaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa mguu kifundo kwa maana ya Club Foot. Kupitia Instagram Page Daddy…
Mwimbaji wa nyimbo za Injili ambaye pia ni mwaniaji wa kiti cha useneti kaunti ya Nairobi, Rufftone, amejitokeza na kuomba radhi kakake Daddy Owen na Wakenya kwa ujumla kutokana na…
Mgombea wa wadhfa wa useneta kaunti ya Nairobi msanii Rufftone amezua gumzo mtandaoni mara baada kuibuia madai mazito dhidi ya kaka yake Daddy Owen. Akiwa kwenye moja ya interview Rufftone…