DAVIDO KUPIGA SHOW YA KUFA MTU O2 ARENA 2022
Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria davido ametangaza kufanya show kwenye ukumbi maarufu wa burudani duniani 02 Arena uliopo nchini Uingereza. Davido ametoa tangazo hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram…