DIAMOND PLATINUMZ MBIONI KUAACHIA KOLABO NA DAVIDO
Kolabo mpya ya nyota wa muziki barani Afrika yaani Davido na diamondplatnumz inanukia, hii ni baada ya mtayarishaji lizer classic wa lebo ya WCB ambaye ni mtayarishaji wa kazi nyingi…
Kolabo mpya ya nyota wa muziki barani Afrika yaani Davido na diamondplatnumz inanukia, hii ni baada ya mtayarishaji lizer classic wa lebo ya WCB ambaye ni mtayarishaji wa kazi nyingi…
Akaunti ya YouTube ya mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platnumz imefutwa na wamiliki wa YouTube kwa kile kinachoelezwa kwamba imekiuka miongozo ya mtandao huo. Ukiingia kwenye Akaunti hiyo kwa sasa, kuna…
Staa wa Muziki wa Bongofleva Diamond Platnumz amefunguka sababu zilizomfanya asishiriki Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) zilizomalika majuzi. Akizungumza na BBC Swahili jijini London, Uingereza, anasema kuwa kikubwa kilichomfanya asishiriki…
Hitmaker wa ngoma ya "Gidi" msanii Diamond Platnumz ameonesha kutoridhika na viongozi wa serikali waliopewa mamlaka ya kusimamia sanaa nchini Tanzania. Kupitia Instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Diamond ameandika…
Wakati ambao EP mpya ya msanii Diamond Platnumz "First of All" ikiendelea kufanya vizuri kwenye digital Platforms mbalimbali, Habari njema kwa mashabiki wa nyota huyo ni kwamba, Ijumaa hii anatarajia…
Mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platnumz ameweka wazi kwamba hatoshiriki kwenye tuzo za Tanzania zilizoandaliwa na Baraza La Sanaa nchini humo BASATA, akihoji kuwa kama wasimamizi wa tuzo hizo wameshindwa kumpatia…
EP mpya ya msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz, "First of All" inaendelea kufanya vizuri kupitia digital platforms mbalimbali. Good news kwa upande wa Apple Music ni kwamba EP hiyo yenye…
Mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platinumz ameachia rasmi EP yake ya First Of All iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. First Of All Ep ina jumla ya nyimbo 10' ya…
Mwanamuziki kutoka nchini Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi. Moja ya kipande cha video katika wimbo wa Gidi…
Mwanamuziki nyota wa BongoFleva Diamond Platnumz ametangaza kuachia EP yake ya kwanza tangu aanze muziki. Kupitia ukurasa wake wa instagram Diamond amesema kwamba EP hiyo ambayo hajaipa jina, itatoka March…