EP ya Diamond Platnumz “First Of All” yashinda tuzo Marekani
EP ya Diamond Platnumz "First Of All" ama FOA imeshinda tuzo ya album bora ya mwaka 2022 kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zilizotolewa usiku wa kuamkia leo huko…
EP ya Diamond Platnumz "First Of All" ama FOA imeshinda tuzo ya album bora ya mwaka 2022 kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zilizotolewa usiku wa kuamkia leo huko…
Moja kati ya headlines zinazo gonga vichwa vya habari mtandaoni ni issue inayomtaja mwanamuziki diamond platnumz kutaka kumuoa mwanamuziki mwenzake zuchu , sakata ambalo kila mtu analizungumzia katika namna yake.…
Mrembo Zari The Bosslady amewataka mashabiki wake kupuuzia taarifa zinazodai kuwa ameolewa. Zari ambaye ni baby mama wa msanii wa BongoFleva amesema picha hizo zinazodaiwa ni za ndoa yake, zimetoka…
Msanii wa Bongofleva Amber Lulu amemtaja Juma Jux kuwa ndio mwanaume anayetamani kupata naye mtoto kwa sababu ana akili, yupo smart na atamuongoza vyema lakini pia amekuwa akimfuatilia msanii huyo…
Msanii mwenye tuzo nyingi zaidi Afrika Mashariki na Kati Diamond Platnumz amepewa heshima kubwa na timu ya Mpira wa Marekani inayofahamika kama washington NFL. Diamond amekabidhiwa jezi namba 99 huku…
Wimbo wa msanii camila cabello kutoka nchini Cuba uitwao "Havana" uliotoka mwaka wa 2017 ambao amemshirikisha rappa Young Thug, umefanikiwa kuuza (units) millioni 10 ambayo ni ngazi ya juu kabisa.…