Dr. Dre yupo mbioni kuuza haki za nyimbo zake (Master Recording)
Rapa mkongwe na mtayarishaji wa muziki kutoka Marekani, Dr. Dre ameripotiwa kuwa yupo mbioni kuuza baadhi ya haki za nyimbo zake (Master Recording) kwa Kampuni ya Universal Music Group (UMG)…