Eddy Yawe afunguka kuwanyanyasa kimapenzi wasanii wa kike
Mwimbaji wa zamani wa bendi ya Afrigo Eddy Yawe ameamua kuvunja kimya chake kuhusu tuhuma za kuwanyanyasa kimapenzi wasanii wa kike. Katika mahojiano yake hivi karibu Yawe amesema tuhuma zote…