ERIC OMONDI AZUA GUMZO MTANDAONI, ADAI MISS P ANA UJA UZITO WAKE.
Mchekeshaji mashuhuri nchini Eric Omondi amezua gumzo mtandaoni baada ya kudai kuwa anatarajia mtoto pamoja na mwanamuziki Miss P. Kupitia ukurasa wake wa Instagram omondi ameshare picha inayomuonyesha Miss P…