ESSENCE YA WIZKID YAFIKISHA MAUZO YA PLATINUM MAREKANI
Ngoma ya Wizkid akiwa amemshiriki Tems, Essence imefanikiwa kufikisha kiwango cha mauzo ya platinum nchini Marekani. Essence imefanikiwa kuuza jumla ya nakala milioni 1 katika nchini hiyo tangu kuachiwa kwake…