INSTAGRAM KUWEKA SEHEMU YA KUPOST KATIKA TOVUTI YAKE
Mtandao wa Instagram unatarajiwa kuweka uwezo wa kupost kwa kutumia tovuti ya Instagram katika kompyuta. Watumiaji wa kompyuta watakuwa na uwezo wa ku-upload videos na picha katika akaunti za Instagram…