CHAMA CHA UGANDA MUSICIANS FEDERATION CHAANZA ZOEZI LA KUWASAJILI WASANII
Msanii nguli kutoka nchini Uganda Jose Chameleone amezindua zoezi la kuwasajili wasanii ambao wanatamani kujiunga na chama chake cha Uganda Musicians Federation. Ni Zoezi ambalo litaandeshwa na timu ya wataalam…