Hanstone adai kuibiwa wimbo na Diamond Platnumz
Msanii wa Bongofleva Hanstone ameibuka na madai ya kwamba Diamond Platnumz ameiba wimbo wake kwenye kazi yake mpya “CHITAKI” ambayo ameidokeza kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia insta story yake, Hanstone ameanika wazi…