HARMONIZE AWEKA HADHARANI TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA
Mwanamuziki wa Bongofleva na mkurugenzi wa lebo ya Konde music worldwide Harmonize ametangaza orodha ya nyimbo zitakazounda album yake ya pili, High School. Kwa mujibu wa post ya Harmonize kupitia…