Skip to content

Urban Spice

  • Home
  • Entertainment
  • Sports
  • Technology
  • Contact
  • Home
  • Entertainment
  • Sports
  • Technology
  • Contact
Read more about the article Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

  • Post published:January 28, 2023

Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nowe Sweety,' ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi yake mpya na msanii wa BongoFleva Harmonize. Kupitia ukurasa wake…

Continue ReadingBahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize
Read more about the article Harmonize amkingia Diamond kwa kukosa show nchini Rwanda

Harmonize amkingia Diamond kwa kukosa show nchini Rwanda

  • Post published:January 26, 2023

Msanii Harmonize ameonyesha uzalendo kwa kumuombea msamaha msanii mwenzake Diamond Platnumz huko nchini Rwanda kutokana na Diamond kushindwa kufika kwenye show aliyotakiwa aifanye December 23 mwaka jana jijini Kigali, pale…

Continue ReadingHarmonize amkingia Diamond kwa kukosa show nchini Rwanda
Read more about the article Harmonize na Rayvanny watupiana maneno makali mtandaoni

Harmonize na Rayvanny watupiana maneno makali mtandaoni

  • Post published:January 17, 2023

Msanii wa Bongofleva, Rayvanny ametapika nyongo kumuhusu Harmonize, ni vita ya maneno ambayo ilianzia kwenye insta story kufuatia Harmonize kuwataka wasanii kuacha kuimba nyimbo za kutukuza pombe kwani zinaharibu Jamii.…

Continue ReadingHarmonize na Rayvanny watupiana maneno makali mtandaoni
Read more about the article Harmonize awaasa wasanii kupunguza nyimbo za pombe

Harmonize awaasa wasanii kupunguza nyimbo za pombe

  • Post published:January 16, 2023

Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amewashauri wasanii wenzake wapunguze kuimba nyimbo za pombe hasa mwezi huu wa januari. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema sio watu wote wanakunywa pombe ila…

Continue ReadingHarmonize awaasa wasanii kupunguza nyimbo za pombe
Read more about the article Kajala sio meneja tena Konde Music Worldwide

Kajala sio meneja tena Konde Music Worldwide

  • Post published:January 13, 2023

Meneja wa Harmonize, Dk. Sebastian Ndege maarufu Jembe ni Jembe amefichua kuwa Kajala Msanja sio Meneja tena katika Lebo ya Konde Music Worldwide yake Harmonize. Hata hivyo, amesema Kajala ameendelea…

Continue ReadingKajala sio meneja tena Konde Music Worldwide
Read more about the article Harmonize amshukuru Sallam SK kumtaja namba 10 kwa wasanii waliofanya vizuri 2022

Harmonize amshukuru Sallam SK kumtaja namba 10 kwa wasanii waliofanya vizuri 2022

  • Post published:December 26, 2022

Hitmaker wa "Outside", Msanii Harmonize ameshukuru meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK kwa kumuweka kwenye orodha ya wasanii waliofanya vizuri mwaka 2022. Kupitia insta story yake amemshukuru Sallam SK kwa…

Continue ReadingHarmonize amshukuru Sallam SK kumtaja namba 10 kwa wasanii waliofanya vizuri 2022
Read more about the article Harmonize kutambulisha meneja na wasanii wapya Konde Gang

Harmonize kutambulisha meneja na wasanii wapya Konde Gang

  • Post published:December 15, 2022

Baada ya kuachana na aliyekuwa Meneja wake lakini pia mpenzi wake Kajala Frida , Msanii wa Bongofleva Harmonize ametangaza rasmi kutambulisha meneja wake mpya kama Suprise kwenye usiku wa Harmo-Night…

Continue ReadingHarmonize kutambulisha meneja na wasanii wapya Konde Gang
Read more about the article Ngoma ya  Harmonize ‘Weed Language’ yarejeshwa Youtube

Ngoma ya Harmonize ‘Weed Language’ yarejeshwa Youtube

  • Post published:December 10, 2022

Ngoma ya ‘Weed language’ ya staa wa muziki wa Bongo Fleva , Harmonize imerejeshwa tena katika mtandao wa Youtube wa msanii Konshens masaa kadhaa yaliyopita. Harmonize jana kupitia ukurasa wake…

Continue ReadingNgoma ya Harmonize ‘Weed Language’ yarejeshwa Youtube
Read more about the article Harmonize atangaza kuanza kutoza KSh. Millioni 5.2 kwa kolabo

Harmonize atangaza kuanza kutoza KSh. Millioni 5.2 kwa kolabo

  • Post published:December 1, 2022

Msanii wa Bongofleva Harmonize ameweka wazi rasmi kwa sasa anaanza kutoza kiasi cha KSh. Milioni 5.2 kwa ajili ya kufanya naye Kolabo, lakini sharti la kwanza wimbo uwe mkali. Kupitia insta story…

Continue ReadingHarmonize atangaza kuanza kutoza KSh. Millioni 5.2 kwa kolabo
Read more about the article Meneja wa Diamond, Sallam SK ajibu disstrack ya Harmonize

Meneja wa Diamond, Sallam SK ajibu disstrack ya Harmonize

  • Post published:November 16, 2022

Meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Sallam SK amemjibu Harmonize kufuatia mashairi yake kwenye wimbo "Champion" alioshirikishwa na rapa Kontawa. Harmonize kwenye sehemu fupi ya wimbo huo aliimba kwamba, kwa sasa…

Continue ReadingMeneja wa Diamond, Sallam SK ajibu disstrack ya Harmonize
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • …
  • 8
  • Go to the next page
Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo...

Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwanamitindo maarufu duniani Amber Rose ameibuka na kudai kuwa kuna unyanyasaji mkubwa sana wa wanawake lakini vyombo vya habari vimekuwa...

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nowe Sweety,' ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi...

Otile Brown atangaza ujio wake mpya 2023

Otile Brown atangaza ujio wake mpya 2023

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwimbaji nyota wa kizazi kipya nchini Kenya, Otile Brown hataki kuwaacha mashabiki wake hivi hivi kabla mwezi huu haujaisha. Hii...

Load More

Categories

  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Others
  • Sports
  • Technology
  • Today in History

More about us

  • Become a contributor
  • Advertise with us
  • Categories
  • Contact
  • Privacy Policy
  • Terms and conditions

Social Media

Facebook Twitter Youtube
Copyright © 2023 Urban Spice | All rights reserved